Je ni sawa kufanya mazoezi kabla ya kula?
Mazoezi ni sehemu muhimu ya kuufanya mwili kuwa imara na wenye afya, lakini kumekuwa na mijadala mbalimbali juu ya kufanya mazoezi ukiwa na njaa au tayari umekula chakula. Baadhi ya wataalamu wa afya...
View ArticleUgonjwa wa Mafua ya Ndege waikumba Madagascar, Tanzania hatarini kuupata
Nchi tisa za Afrika ziko katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa mafua ya ndege, na tahadhari imetakiwa kuchukuliwa dhidi ya ugonjwa huo ambao unaenezwa kwa njia ya hewa. Tahadhari hiyo imetolewa na...
View ArticleIs Tanzania’s Adolescent Fertility Rate Three Times Higher Than Global...
The Comprehensive Community-Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT), an organization which works to provide affordable medical and rehabilitative services for mothers and newborns throughout...
View ArticleWatoto wachanga milioni 77 hawapati maziwa ya mama muda mfupi baada ya...
Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) limesema watoto milioni 77 ambao ni sawa na mtoto 1 kati ya 2 wanaozaliwa hawapati maziwa ya mama muda mfupi baada ya kuzaliwa ambapo wanakosa virutubisho muhimu,...
View ArticleHuduma duni za afya kichocheo vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati,
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kutengeneza mifumo imara ya kitaasisi itakayosimamia utolewaji wa huduma za afya kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati ili kupunguza vifo vya watoto hao ambavyo...
View ArticleMatumizi ya Kahawa kupunguza idadi ya watu wanaopata shambulio la moyo, kiharusi
Matumizi ya kahawa ni tiba ya asili kwa mwili wa binadamu. Habari njema ni kuwa kahawa ina mchango mkubwa katika kuzuia magonjwa ya moyo ikiwemo shambulio la moyo na kuziba kwa mishipa ya damu iliyopo...
View ArticleWakulima wa tumbaku hatarini kukosa soko, mahitaji ya zao hilo yapungua duniani
Mafanikio ya mkulima ni kupata soko la mazao ambalo litakuwa na bei nzuri ambayo itampatia faida na kurudisha gharama zote uzalishaji alizotumia katika kipindi chote cha kulima kwake. Bei ya mazao...
View ArticleUTAFITI: Wagonjwa watoa fedha, vitu kwa daktari ili wapate upendeleo
Licha ya serikali kuboresha miundombinu ya sekta ya afya, bado vituo vingi vya afya vinatoa huduma hiyo kwa upendeleo na kuwabagua baadhi ya wagonjwa ambao hawana fedha. Kwa mujibu wa matokeo ya...
View ArticleMgawanyo usio sawa wa madaktari katika sekta ya afya kikwazo kingine...
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye na afya njema hawezi kushiriki...
View ArticleWagonjwa zahanati ya Bujonde walala sakafuni, Waziri awalaumu viongozi...
Zahanati ya Bujonde ni miongoni mwa zahanati 29 zilizomo katika Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya lakini siku za hivi karibuni imeibua mjadala kutokana na uchakavu wa miundombinu ambapo imewalazimu...
View ArticleMaumivu ya Matiti: Mabadiliko ya mwili yanayohusishwa na kansa kwa wanawake
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani na kuhatarisha afya zao. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo mwanamke anaweza kuyapata...
View ArticleMaambukizi ya Mfumo wa upumuaji yanachangia asilimia 10.5 ya watoto...
Matumizi ya nishati ya asili katika shughuli za binadamu yamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa mazingira, lakini nishati hiyo inatajwa kuathiri zaidi afya za watoto hasa maambukizi katika mfumo wa...
View ArticleJinsi shukrani inavyoweza kubadili afya yako
Kushukuru kwa kila jambo jema unalofanyiwa na mtu ni muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Kwa kutambua hilo kila ifikapo mwisho wa mwaka watu huingia katika nyumba za ibada na...
View ArticleTAHADHARI: Waishio jirani na viwanda Dar hatarini kupata magonjwa ya kudumu
Wananchi wanaoishi jirani wa viwanda jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupata magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ngozi na kansa kutokana na kuvuta vumbi, moshi na harufu inayosemekana kuwa na kemikali...
View ArticleOngezeko la bajeti isiyoendana na mahitaji ya lishe kuathiri afya za watoto...
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5, jambo ambalo linaathiri maendeleo...
View ArticleMaambukizi ya UKIMWI yanapogeuka janga kwa wakulima Tanzania
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wake, mipango na mikakati mbalimbali...
View ArticleUtafiti: Asilimia 10 hadi 25 ya bajeti ya familia hugharamia huduma za afya
Imebainika kuwa nusu ya watu wote wanaoishi duniani hawapati huduma bora za afya jambo linalowatumbukiza kwenye umaskini kutokana na kutumia gharama kubwa za matibabu. Licha ya juhudi mbalimbali za...
View ArticleTanzania kujitathmini mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Kila ifikapo Juni 25 kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya na kutathimini jitihada zilizofikiwa katika kupunguza tatizo la matumizi ya dawa hizi. Biashara ya dawa za...
View ArticleWaziri Ummy Mwalimu awaagiza wataalamu wa afya kuzigeukia tiba asili
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza wataalamu wa wizara yake kuwekeza katika tafiti za tiba asili ili kuboresha utolewaji wa huduma hiyo katika maeneo...
View ArticleUkosefu wa elimu ya matunzo wachochea kansa ya ngozi kwa ‘Albino’
“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi yao inayostahili katika ngazi za jamii. Na kwamba siku za ubaguzi dhidi ya watu wenye ‘albinism’ zitakuwa...
View Article