Morogoro: Zahanati yatelekezwa miaka mitatu. Wagonjwa, wajawazito wateseka
MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa Tanganyika (baadaye Tanzania) kuwa ni ujinga, maradhi na umasikini. Tangu uhuru wa Tanganyika, serikali na wananchi...
View ArticleWatetezi uhai wafanya kampeni kupinga muswada Afrika Mashariki
MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania, yanaendesha kampeni kupinga muswada ulioandaliwa na Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuhusu afya ya uzazi na...
View ArticleUgonjwa wa ‘presha’ kitanzi kipya kwa wazee, serikali ichukue hatua haraka
UGONJWA wa shinikizo la damu, maarufu kwa jina la 'presha,' unatajwa kuwa kitanzi kipya katika maisha ya wazee Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. “Ugonjwa huu unaua!” Wataalamu wa masuala ya afya...
View ArticleKatavi: Vyeti feki vyaathiri huduma Duka la MSD. Watumishi watatu wakumbwa na...
NDOTO za wananchi wa Manispaa ya Mpanda na Mkoa wa Katavi kwa ujumla za Jumanne ya Januari 17, 2017 kuhusu kutatuliwa kwa changamoto ya upatikanaji wa dawa zimeyeyuka baada ya wafamasia watatu wa duka...
View ArticleKatavi: Muuguzi alazimika kufanya kazi ya daktari wilayani Mlele
OPERESHENI ya uhakiki wa vyeti feki vya elimu na taaluma nimesababisha mhudumu wa afya katika Zahanati ya Majimoto, Kata ya Majimoto wilayani Mlele katika Mkoa wa Katavi kufanya kazi ya udaktari....
View ArticleKatavi: Zahanati nyingi zakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba,...
WAKATI dunia ikiwa katika miaka ya mwanzo ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), huenda bado ipo haja ya kutazama upya utekelezwaji wa Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs). Awamu...
View ArticleMimba za Utotoni, tatizo ni mtoto wa kike?
JUMA lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito huu wa Rais...
View ArticleVitambulisho vitaondoa adha ya matibabu kwa wazee Tanzania
Hivi karibuni, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza Halmashauri zote nchini kuandalia wazee vitambulisho maalum kwa ajili ya kupata huduma za afya mara...
View ArticleBima ya afya kuwahakikishia wazee huduma bora za matibabu
Maendeleo mazuri ya afya ya mtu ni pamoja kuwa na uhakika wa kupata matibabu akiugua au kupata ajali. Bima ya afya ni njia mojawapo inayomuhakikishia mtu kupata huduma za afya wakati wowote na mahali...
View ArticleFoleni vituo vya afya kikwazo kwa wananchi kupata huduma bora
Huduma bora za afya ni haki ya msingi ya kila mtu lakini changamoto katika sekta ya afya nchini huwa kikwazo kwa wananchi kuzipata huduma hizo kwa wakati. Uhaba wa madaktari na wahudumu wa afya ni...
View ArticleWanawake wasioolewa hupata mimba zaidi zisizotarajiwa na huishia kuzitoa
Licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau wa afya ya mama na mtoto kuhamasisha matumizi ya njia sahihi za uzazi wa mpango, bado idadi ya wanawake wanaotoa mimba ni kubwa nchini Tanzania....
View ArticleLini wananchi wa Kinondoni watapata maji safi na salama?
Kinondoni ni wilaya mojawapo iliyopo katikati ya jiji Dar es salaam, ambapo katika fikra za watu waishio pembozoni mwa nchi hudhani kuwa upatikanaji wa huduma za jamii ni bora zaidi kuliko maeneo...
View ArticleTatizo la upofu wa macho linavyoitesa dunia
Jicho ni kiungo kimojawapo cha mwili kinachomsaidia mwanadamu na pia wanyama kuona vitu mbalimbali vilivyomo dunia. Matatizo ya macho yapo ya aina mbalimbali: Mengine yanasababishwa na nzi, kama vile...
View ArticleSababu za wanawake kuishi muda mrefu kuliko wanaume
Kila binadamu aliyezaliwa huongezeka kimo kuanzia akiwa mtoto, kijana na hatua ya mwisho ni uzee na kifo. Kifo hakina kanuni na kinaweza kumpata mtu yoyote wakati wowote. Matarajio ya watu wengi ni...
View ArticleMbunge ashawishika kutoa bima ya afya kwa wazee
katika kuelekea siku ya Wazee Duniani, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amewataka wazee wa kata katika jimbo hilo kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha ili wapate vitambulisho...
View ArticleKufanya mazoezi kupita kawaida ni hatari kwa afya yako
Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi la kutimiza kabla ya kuondoka duniani. Mazoezi ya mwili na ulaji wa chakula bora yanatajwa kuwa sehemu muhimu...
View ArticleTRAUMA: kidonda cha kisaikolojia kinachohatarisha maisha ya watu wengi
Tunaishi katika dunia ambayo inakabiliwa na matatizo mbalimbali ambayo husababishwa na shughuli za binadamu na nguvu za asili kama mafuriko, vimbunga, matetemeko chini ya ardhi ambayo huwa nje ya...
View ArticleMambo ya kuzingatia kukabiliana na ‘TRAUMA’
Makala iliyopita tuliongelea dhana ya Trauma na dalili zake, leo tena tunaendelea kuangalia hali halisi ya trauma, athari na jinsi ya kukabiliana nayo. Kimsingi tatizo hili ni kubwa na hutokea katika...
View ArticleDondoo muhimu ili kupata usingizi wa uhakika
Kufanya kazi ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu mwili unashindwa kujiendesha na kuzalisha seli mpya ambazo zinatakiwa zitumike. Kwa kila anayefanya kazi...
View ArticleLissu amaliza awamu ya pili ya matibabu, kusafirishwa nje ya Kenya
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema afya ya Tundu Lisuu imeimarika na ataingia katika awamu ya tatu ya matibabu nje ya Nairobi. Tundu Lisu alipelekwa...
View Article