Quantcast
Channel: Afya – Fikra Pevu
Browsing all 296 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanasiasa, wanaharakati watofautiana ukuaji wa soko la tumbaku Tanzania

Kukosekana kwa utashi wa kisiasa na ukuaji wa soko la tumbaku kumetajwa kama kichocheo cha ongezeko la matumizi ya sigara na vifo kwa vijana nchini. Uvutaji wa sigara katika nchi zilizoendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukosefu wa maji safi na salama wahatarisha afya za wananchi vijijini

Upatikanaji wa maji safi na salama ni muhimu kwa afya zetu. Maji yasiyo safi na salama ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kuhara ambayo yanaweza kusababisha vifo. Machi 22 ya kila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI: Mafuta ya lavenda, chai huchochea wanaume kuota matiti

Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na matiti makubwa. Kawaida,...

View Article

AIDS doesn’t isolate, but people do

It is a terminal disease. No vaccine, no medicine but could be avoided when everyone gets proper education. Each of us will be safe from the virus and thus refrain from stigmatizing the victims. This...

View Article

Wanafunzi nchini kupimwa TB kabla ya kuanza masomo

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu wanafunzi kabla ya...

View Article


Uhaba wa madaktari, msongamano wa wagonjwa waitesa Zahanati ya Bugarika...

Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu wa afya unaoendelea nchini. Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Mpwapwa, Kondoa  wanyimwa fursa kutoa malalamiko katika vituo vya afya

Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo hii kunapunguza fursa ya watumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuna tofauti gani katika aina zote za dawa za meno?

Ukijaribu kwenda kwenye maduka makubwa utashangazwa na idadi ya dawa za meno utakazokutana nazo. Zipo aina nyingi na ni msululu wa dawa umepangwa kwenye makabati baadhi zikifanya kazi ya kung’arisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHLOROFORM: Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba

Katika siku za hivi karibuni umezuka mjadala juu ya kukithiri kwa vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia dawa ya usingizi na kisha kuchukua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unapenda kujilaza kitandani kwa muda mrefu? Hizi ndizo athari za kiafya...

Kulala kwa muda mrefu kunahusishwa na matatizo ya kuharibika kwa ngozi na kupata maumivu ya viungo hasa mgongo. Pia kujilaza kitandani muda mrefu huusishwa na matatizo ya msongo wa mawazo, mkazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukosefu wa vitamini D kwa wajawazito sababu kubwa watoto kupata Usonji

Duniani kote , Aprili 2 ya kila mwaka ni siku iliyotengwa kueneza ufahamu, kujenga uelewa na kukubali juu ya hali ya usonji, ambayo kitaalamu inajulikana kama “Autism”. Kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Which way on tobacco; wealth or health?

There is a big fight going on in Tanzania just like anywhere in the world. The winning card is within ourselves. Tobacco is the center of the battle field. One side is battling on profit-making while...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CSI yatoa mafunzo kwa  wakunga, vifaa tiba kukabiliana na vifo vya wajawazito...

Kwa mujibu wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) linaeleza kuwa watoto wachanga 7000 hufariki kila siku duniani kote ambapo ni sawa na watoto 21,000 kwa mwezi. Ripoti hiyo inafafanua kuwa sio vifo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kutoa chanjo kuwakinga wasichana dhidi ya saratani ya kizazi

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku Saratani ya mlango wa kizazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni wakati sahihi kwa Tanzania kutumia roboti kwenye matibabu ya binadamu?

Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona daktari na kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unataka kuoa au kuolewa? Fahamu kundi la damu la mweza wako

Kuna vitu vingi vya kuzingatia unapomchagua mtu kuwa mwenza wa maisha yako. Jambo mojawapo la kuangalia ni kundi la damu. Sio kitu kinachozingatiwa na watu wengi wakati wa uchumba lakini fahamu kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini watu wanaopoteza utajiri ghafla wanakufa mapema?

Kwa mujibu wa  utafiti mpya uliofanywa nchini Marekani, watu wanaopoteza utajiri au mali zao ghafla wana uwezekano mkubwa  kufa mapema kuliko wale ambao wanafirisika taratibu. Utafiti huo ulifanywa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgawanyo usio sawa wa hospitali, zahanati unavyokwamisha huduma za afya kwa...

Imeelezwa kuwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kutokana na uchache wa vituo vya kutolea huduma hizo ambavyo haviendani na ongezeko la idadi ya watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu za kukosa usingizi wakati wa ujauzito na tiba yake

Jukumu la kutunza familia ni la wazazi wote wawili yaani mwanaume na mwanamke. Lakini majukumu ya mwanamke huongezeka pale anapopata ujauzito, hulazimika kumlea mtoto aliyepo tumboni mpaka azaliwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je, unafahamu watu wanapataje Mzio (Allergy) ya vitu, hali ya hewa au vyakula?

Watu wanaweza kupata mzio wa vitu au vyakula katika namna mbili; Kwanza, wanawaweza kuwa na mzio wa kitu fulani tangu kuzaliwa (Hii ni kutokana na vinasaba vyao) au wanaweza kupata mzio kadiri umri...

View Article
Browsing all 296 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>