Kwanini hakuna Saratani au kansa ya Moyo?
Kugundua kwamba una saratani au ndugu yako ana saratani huwa ni kipindi kigumu sana maishani. Saratani imekuwa janga kubwa sana duniani na hujitokeza katika namna tofauti. Saratani husababisha vifo vya...
View ArticleBajeti ya afya 2018/2019 bado tegemezi, yafyekwa kwa asilimia 20
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa watanzania kukosa huduma bora za afya kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kutokana na kupunguzwa kwa bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
View ArticleKadi alama ya lishe kutokomeza utapiamlo, udumavu kwa watoto chini ya miaka 5
Serikali imeanza kutumia kadi alama ya lishe ili kuongeza uwajibikaji kwa watoa huduma itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo na udumavu kwa watoto nchini. Muhtasari wa hali ya utapiamlo Tanzania...
View ArticleMikoa 10 Tanzania Bara vinara maambukizi ya Malaria
Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya watu kila mwaka. Kauli mbiu ya...
View ArticleNi wakati sahihi kwa wanaume kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?
Kwa muda mrefu sasa wanawake wamekuwa wakiwajibika kutumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba zisizo tarajiwa. Wengine wanatumia njia za muda mrefu kama vipandikizi, kukata mirija ya inayosafirisha...
View ArticleLikizo ya uzazi kwa wanaume na mgongano wa sheria, mila na wanasiasa
Jukumu la kumlea na kumtunza mtoto ni la wazazi wote wawili yaani baba na mama. Matunzo hayo yanaanza mama anapokuwa mjamzito mpaka siku ya kujifungua. Katika siku za mwanzo za kuzaliwa mtoto,...
View ArticleWageni wanaoingia nchini kupimwa homa ya manjano
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inaendelea kupima na kutoa chanzo ya ugonjwa wa homa ya manjano kwa wasafiri wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya ugonjwa...
View ArticleMPANDA: Shule inayoongoza kwa ufaulu Kyela licha ya changamoto lukuki
Wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda iliyopo kata ya Ipyana wilayani Kyela wanalazimika kusoma kwa kupokezana kutoka na madarasa ya shule ya kuchakaa na kutokufanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Mwalimu...
View ArticleWilaya 6 vinara ugonjwa wa ukoma nchini. Mila potofu zachochea tatizo kwenye...
Imeelezwa kuwa watanzania wanashauriwa kuendelea kujihadhari na ugonjwa wa ukoma, licha ya kupungua kwa maambukizi yake katika maeneo mbalimbali nchini. Tahadhari hiyo inatokana na uchunguzi wa Wizara...
View ArticleWajawazito watakiwa kuhudhuria kliniki kujiepusha na fistula
Imeelezwa kuwa wanawake kati ya 1,200 na1,500 hupata ugonjwa wa fistula nchini na hali inayohatarisha maendeleo ya afya zao na watoto wanaozaliwa kila mwaka. Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa...
View ArticleTanzania yapata somo utoaji wa chakula shuleni
Wakati mjadala ukiendelea kuhusu serikali ya Zanzibar kuagiza walimu 300 kutoka Nigeria kwaajili ya kufundisha masomo ya sayansi, nchi hiyo imeendelea kutoa somo la uboreshaji elimu kwa Tanzania baada...
View ArticleWanasayansi wagundua virusi vya Zika kutibu kansa ya ubongo
Virusi vya Zika vinavyosababisha watoto kuzaliwa wakiwa na ubongo uliodumaa na vichwa vidogo vimeibainika kama njia mojawapo ya kutibu kansa ya ubongo ijulikanayo kama ‘glioblastoma’ Homa ya Zika ni...
View ArticleUlaji mbaya wa chakula watajwa kusababisha kansa ya matiti kwa wanawake
Thamani ya maisha haiko kwenye muonekano wa mtu na vitu vinavyomzunguka bali kwenye chakula anachokula kila siku ili kuwa na afya njema. Lakini umewahi kujiuliza, chakula kinawezaje kupunguza uwezekano...
View ArticleVyakula hivi vitakulinda dhidi ya athari za kiafya za uchafuzi wa hewa
Tunaishi katika ulimwengu unaokabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya hali ya hewa. Moja ya athari hizo ni kuongezeka kwa joto na kupungua kwa mvua katika maeneo mbalimbali. Athari hizi zinagusa moja...
View ArticleWatumishi wa afya 200 kupatiwa mafunzo ya utoaji dawa ya usingizi kuokoa...
Kufuatia upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi (anaesthesia), serikali itatoa mafunzo ya dawa za usingizi kwa watumishi wa afya 200 katika vituo vya afya vya upasuaji wa dharura kwa akina mama...
View ArticleUchambuzi wa Kina: Kwa Nini Sheria ya Bima ya Afya ya Taifa Haiwezi Kudumu
Katika mazingira mengi, ushauri wa Anglo-American haujatuletea ustawi katika maeneo mengi bali umetuachia jeraha la uso. Badala ya kuinua kalamu na kurudia wimbo ule ule kwa sababu diski imeharibika,...
View Article