Wagonjwa wapya 300 wa ukoma wagundulika kila mwaka Tanzania
Waziri Ummy Mwalimu TAKRIBAN wagonjwa 300 wa ukoma hugundulika kila mwaka nchini Tanzania huku asilimia 10 wakiwa ni watoto, FikraPevu inaandika. Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii,...
View ArticleDaktari mmoja kuhudumia wagonjwa 30,000 ni majanga kwa Tanzania
MWAKA 2016 wakati wa mojawapo ya vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Rukwa, wajumbe walizizima kwa muda baada ya kupokea taarifa kuwa daktari mmoja mkoani humo alikuwa akihudumia wagonjwa 200,000....
View ArticleMBEYA: Wauguzi, mume na mke waacha kazi wakati Tume ikichunguza vyeti bandia
WAUGUZI wawili, akiwemo muuguzi mkuu wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Mbeya (Mbalizi Ifisi), Sikitu Mbilinyi, wameacha kazi ghafla. FikraPevu ina taarifa kuwa wameacha kazi wakati kukiwa na tume...
View ArticleKatavi: Maiti wataabika, majokofu mabovu
MAJOKOFU ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi ni mabovu. Hali hiyo inasababisha maiti wanaohifadhiwa katika chumba maalum kutunzia miili ya wafu,...
View ArticleVifo vyashamiri kwa wanaotoa mimba Tanzania. Wazanzibari wafanya ngono...
WANAWAKE 390,000, kati ya milioni moja, nchini Tanzania hutoa mimba kila mwaka kwa njia za kinenyeji. FikraPevu imeelezwa kuwa idadi hiyo (milioni moja) inawahusu wanawake wanaopata mimba...
View ArticleSongea: Watumia dawa za kulevya waongoza kwa maambukizi ya Ukimwi
MADHARA ya kutumia dawa za kulevya ni mengi. Na yote ni mabaya. Hakuna jema hata moja. Wanaotumia dawa hizo, ikiwamo Cocaine, Heroine, bangi na nyingine, hupata hasara ya mwili kukosa nguvu, hivyo...
View ArticleUhaba na uchafu wa vyoo shuleni unahatarisha afya za wanafunzi jijini Dar es...
MAZINGIRA bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kutatua changamoto Za maisha. Lakini...
View ArticleMpango wa Afya Bora kwa wote unaendelea kusuasua Tanzania
MPANGO wa Afya Bora kwa Wote (Universal Health Coverage) bado unasuasua Tanzania. Mpango huu wa dunia wenye historia ndefu na ambao unapigiwa chepuo na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa mpango...
View ArticleHizi ndizo changamoto za Sekta ya Afya nchini Tanzania tangu Uhuru!
AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. Serikali huwa na lengo la kuinua hali ya afya kwa wananchi wote mahali popote walipo ikiwa ni mijini au vijijlni kwa...
View ArticleWasichana wenye umri wa miaka 20 – 25 washambuliwa zaidi na Ukimwi nchini...
MAABUKIZI ya Virusi vya Ukimwi yako juu kwa wasichana wenye umri kati ya miaka 20 na 25 kuliko walio chini ya umri huo, FikraPevu inaandika. Inaelezwa kwamba, maambukizi kwa wasichana wa rika hilo la...
View ArticleDodoma: Zahanati hufungwa hadi wiki mbili kila wakati mganga anaposafiri
GRACE Machidya, mkazi wa Kijiji cha Malolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, anahangaika kutafuta usafiri wa bodaboda ili impeleke katika zahanati ya Al Jazeera iliyoko Ruaha Mbuyuni wilayani...
View ArticleAhadi ya Waziri Mkuu haijaleta matumaini Katavi, upatikanaji wa dawa bado...
MATARAJIO ya upataikanaji wa uhakika wa dawa katika Hospitali ya Manispaa Mpanda mkoani Katavi ambayo walikuwa nayo wakazi wa mkoa huo yameendelea kuota mbawa licha ya ahadi iliyotolewa na Waziri...
View ArticleHatari: Bodaboda zaongeza idadi ya wagonjwa wa kifafa Tanzania
ZAIDI ya Watanzania milioni moja wanaugua ugonjwa wa kifafa (epilepsy), FikraPevu inaripoti. Ukiachilia mbali watoto, lakini watu wanaopata ajali za magari, bodaboda na kadhalika, wako hatarini kuugua...
View ArticleHali ya uondoaji wa majitaka jijini Dar es Salaam bado kizungumkuti
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji makubwa barani Afrika ambayo hayajapangwa. Ama kwa lugha rahisi, ni jiji lililojengwa kiholela. Jiji hilo lenye wakazi takriban milioni tano wanaoishi katika...
View ArticleMajanga tena: Tumejiandaaje kukabiliana na kipindupindu jijini Dar es Salaam?
HIVI karibuni, mtu mmoja Ramadhan Kiumbo ‘Popo’, mkazi wa Kibada wilayani Kigamboni aliripotiwa kufariki dunia na wengine 12 kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kipindupindu. Marehemu alifariki...
View ArticleSababu za kuongezeka kwa uzazi kwa njia ya upasuaji zazua hofu nchini
“KUANZIA sasa nitakuwa najifungua kwa njia ya ‘operesheni’ tu, nimeteseka vya kutosha na nisingependa kurudia mateso yale,” anasema Martha (siyo jina lake halisi), mama wa mtoto mmoja. Anajutia mateso...
View ArticleUkame, lishe duni kuongeza udumavu kwa watoto Tanzania
MAENDELEO mazuri ya kukua na kuongezeka kwa urefu na uzito, ni muhimu kwa afya ya mtoto. Lakini kwa mtoto Emmanuel John, mwenye umri wa miaka 2 ni tofauti; ngozi yake imekunjamana na anaonekana mwenye...
View ArticleHatari: Hivi VVU/UKIMWI sasa vimezoeleka kama homa ya mafua tu?
MIAKA kadhaa iliyopita kulikuwa na matangazo mengi kuhusu ugonjwa wa Ukimwi kwenye vyombo mbalimbali vya habari; redio na magazeti. Watu wengi walielimika kupitia vyombo hivyo na hakika uelewa wa...
View ArticleTafiti zaidi zinahitajika kutokomeza tatizo la watoto wanaozaliwa kabla ya...
UWEPO wa watoto katika familia ni furaha kwa wanandoa, wengi huamini kuwa watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wazazi wanawekeza fedha na muda mwingi kuwalinda na kuwakuza katika mwenendo mzuri wa...
View ArticleUongozi Tanga wakwamisha kupatikana kwa mashine ya tiba Bombo hospitali
UONGOZI wa Mkoa wa Tanga unakwamisha kupatikana kwa vifaa vya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo kutokana na ukiritimba. Uchunguzi uliofanywa na FikraPevu umebaini kuwa kukosekana kwa baadhi ya...
View Article