There is no Zika virus outbreak in Tanzania. But…
On Dec. 15, Dr. Mwele Malecela, the Director General of National Institute of Medical Research (NIMR), as part of the institute’s annual report, announced publicly that the Zika virus is present in...
View ArticleDodoma: Hali bado tete, wajawazito wasafiri zaidi ya kilometa 100 kufuata...
HUDUMA ya afya katika Kata ya Malolo, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma bado zina changamoto kubwa ambapo mpaka sasa wajawazito wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilometa 100 kufuata huduma za...
View ArticleMwanza: Vifaa vya upasuaji vyakosa kazi, vyafungiwa stoo licha ya kuwepo kwa...
WAKATI Serikali ikitumia fedha nyingi kuboresha na kusogeza karibu na wananchi huduma ya afya, vifaa vya upasuaji katika Kituo cha Afya cha Igoma jijini Mwanza, vimefungiwa ndani bila kufanya kazi...
View ArticleMjadala mpya: Wanasheria wataka wanawake waruhusiwe kutoa mimba
CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimedhamiria kuibua mjadala mpana kutetea utoaji mimba salama nchini. Mkurugenzi wa TAWLA, Tike Mwambipile, anasema mjadala unapaswa kulenga kuzuia...
View ArticleHatari: Asilimia kubwa ya Watanzania kuugua uchizi, saratani. Wauguzi,...
NI majira ya saa 11.40 alfajiri wakati ninapoparamia daladala kuelekea ofisini baada ya kumsindikiza binti yangu awahi shule kutokana na shida ya usafiri, si kwa wanafunzi bali hata kwa wakazi wengi...
View ArticleWananchi wamshinikiza waziri Kituo cha Afya kifanye upasuaji
WAKAZI wa Kata ya Igoma jijini Mwanza, wamemshinikiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kuhakikisha Kituo cha Afya katani hapo kinafanya kazi ya upasuaji....
View ArticleHaya ndiyo mateso ya siri wapatayo wanawake wanaotoa mimba
KUHARIBIKA kwa kondo la nyuma, kuharibika kwa mfuko wa neva na mimba zinazofuata, kuwa tasa, kufariki kwa mama au mama kuamua kujiua baadaye, ni miongoni mwa mateso ya siri wapatayo baadhi ya wanawake...
View ArticleHakuna maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Zika Tanzania, lakini…
Tarehe 15 Desemba 2016, Dk Mwele Malecela, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) alitangaza hadharani kuwa kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. “Zika ipo nchini...
View ArticleUKIMWI: Sauti zisizosikika, majanga yasiyopona na biashara ya ukahaba
KWA Monica Ibrahim, kahaba anayefanya shughuli zake pale Mbeya Carnival Night Club, mapenzi ni furaha iliyopotea kitambo kwa kuwa inamletea majeraha mengi maishani mwake, kiasi cha kumlazimu kuendesha...
View ArticleJinsi mtoto anavyouawa akiwa tumboni
PAMOJA na madhara na “dhambi” ya kuua inayowakabili wanawake wanaotoa mimba, bado hawakomi, FikraPevu limebaini. Zipo njia nyingi wanazotumia “kuwaua” watoto waliomo tumboni, lakini uchunguzi wa...
View ArticleKipundupindu, rafiki wa Dar es Salaam anayehamia Dodoma
PAMOJA na kuendelea kwa harakati za serikali kuhamia rasmi Dodoma, hofu ya kuongezeka kwa kero ya maji katika mji huo ni kubwa. Hofu hiyo haitapungua, angalau kwa sasa, bali itaongezeka kwa kuwa ni...
View ArticleMafia: Wagonjwa wengi wanapona kwa miujiza. Hakuna dawa
BAJETI finyu inayotengwa kwa ajili ya sekta ya afya nchini, inachangia kukosekana dawa na vifaa vya tiba katika zahanati na hospitali za umma wilayani Mafia, Pwani. Halmashauri ya Wilaya ya Mafia...
View ArticleBohari Kuu ya Dawa-MSD yakwamisha tiba haraka kwa wagonjwa wa Mafia
UTARATIBU wa kununua dawa kwa mzabuni binafsi zinapokosekana Bohari Kuu ya Dawa (MSD), unasababisha uhaba wa dawa, vifaa vya tiba kwenye zahanati na hospitali wilayani Mafia mkoani Pwani. Kulingana na...
View ArticleMuleba: Kukwama kwa ujenzi wa zahanati kwasababisha vifo
KUSHINDWA kukamilika kwa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasindaga, Kata ya Kyebitembe, Wilaya ya Muleba, Kagera kunasababisha matatizo makubwa ya afya na vifo. Hiyo inatokana na kukosekana kwa...
View ArticleTumbaku: Zao lenye neema ya utajiri, lakini linaua kila baada ya sekunde sita
LICHA ya kutajwa kuwa mkombozi wa kiuchumi, lakini zao la tumbaku bado limeendelea kuwa hatari duniani kutokana na kusababisha vifo milioni 6. Wanaopoteza maisha kutokana na mazao ya tumbaku, ni wale...
View ArticleJitihada zaidi zinahitajika kukomesha vifo vinavyotokana na uzazi Tanzania
MIAKA 27 iliyopita Tanzania ilikuwa inashika nafasi ya 18 barani Afrika katika orodha ya nchi 20 zilizokuwa zikiongoza kwa idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na uzazi. Lakini hivi sasa FikraPevu...
View ArticleLindi: Mpango wa usafi wa mazingira washindwa kutekelezwa
MNAMO Agosti 8, 2016 viwanja vya maonesho Sikukuu ya Wakulima– maarufu; Nane Nane katika eneo la Ngongo, mjini Lindi vilikuwa vimependeza kutokana na kuwepo kwa mabanda yaliyosheheni bidhaa mbalimbali...
View ArticleMorogoro: Huduma za afya zapatikana chini ya mti
WAKAZI wa Kata ya Mindu katika Manispaa ya Morogoro wanapata huduma za afya chini ya mti kutokana na ukosefu wa jengo la zahanati na kituo cha afya. FikraPevu imeshuhudia akinamama wakiwa wameketi...
View ArticleMorogoro: Dawa hazitoshi, miundombinu ya afya mibovu
UKOSEFU wa zahanati na vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni nchini Tanzania unachangia wananchi wengi kukosa huduma za afya kwa wakati. Uchunguzi ulifanywa na FikraPevu umebaini kuwa hata pale...
View ArticleAre Cancer Rates Soaring in Tanzania?
Journalist Krista Mahr, writing in the British Guardian newspaper recently, reported that cancer rates are on the rise in Tanzania. Mahr wrote, “Tanzania’s only internationally trained medical...
View Article