Ukuaji na Maendeleo ya Mtoto Kiakili
Credit: Picha ya Mtandaoni Kama mzazi au mlezi unayebeba majukumu yako kwa uzito, lazima ufuatilie ukuaji wa mtoto wako au unayemlea hasa ukuaji wa akili yake. Mtoto anapokua vizuri kiakili anaweza...
View ArticleNini Chanzo na Tiba ya Kukosa Pumzi Wakati Umelala?
TATIZO la kukosa pumzi wakati umelala (Obstructive Sleep Apnoea ‘OSA’) ni hali inayotokea wakati kuta za koo zinapopumzika na kuwa nyembamba, hivyo kushindwa kupitisha pumzi vizuri wakati umelala,...
View ArticleMagonjwa yanayosababisha kutoa usaha, kuumwa na kuwashwa sehemu za siri!
KUNA magonjwa mengi yanayosababisha mtu kukojoa udenda (usaha), uume kuuma au kuwasha wakati wa kukojoa. Magonjwa yanayosababisha hali hiyo kwa sana ni pamoja na klamidia (chlamydia), kisonono...
View ArticleChanzo na Tiba ya Moyo Kupanuka
MOYO ni ogani muhimu sana katika mwili. Inafanya kazi muda wote hata wakati ambapo umechoka sana au kulala. Kazi kubwa ya ogani hii ni kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili kama kichwani hadi...
View ArticleKupambana na Fangasi Sehemu za Siri za Mwanaume!
IDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa na fangasi tu, ndiyo maana nimepata...
View ArticleHosptali ya Tengeru yakabiliwa na uhaba wa vitanda
HOSPITALI ya Tengeru (Patandi) Wilaya ya Arumeru inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa vitanda hali inayosababisha wagonjwa kulala zaidi ya mmoja katika kitanda kimoja. Hayo yamebainika wakati wa kukabidhi...
View ArticleKliniki za tiba mbadala hutoa huduma ama ni uendelezaji wa unyonyaji?
Babu wa Loliondo, Mchungaji Mwasapila, akitoa huduma ya 'kikombe' kwa 'wagonjwa' wake SIYO jambo geni kila kukicha kusikia matangazo kwenye radio na runinga kuhusiana na kliniki ama zahanati zinazotoa...
View ArticleAgenda ya wazee Tanzania imetupwa kapuni, afya zao hatarini
SERA ya Taifa ya Wazee Tanzania (2003), inaeleza kwamba ‘mzee’ ni mtu mwenye umri wa miaka 60 na zaidi. Zaidi ya hapo, Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 inaonyesha kwamba asilimia 5.6 ya watu nchini...
View ArticlePamoja na kupungua kwa maambuki, Malaria bado tatizo kubwa vijijini
SERIKALI imeonyesha jitihada kubwa katika kupambana na ugonjwa wa malaria ambapo maambukizi yanatajwa kwamba yameshuka kutoka asilimia 18 kwa mwaka 2007/2008 hadi asilimia 10 mwaka 2011/2012. Lakini...
View ArticleBajeti ya Afya imetenga kiasi gani kuhusu uzazi wa mpango?
KESHO Alhamisi, Mei 12, 2016 Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, anatarajiwa kusoma Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17. Bajeti hiyo, ambayo...
View ArticleChanzo na Jinsi ya Kuzuia Vidonda vya Kinywa!
VIDONDA vya Kinywa ni michubuko inayotokea kwenye mdomo na ulimi. Vidonda hivi katika kinywa husababisha mhusika kupata maumivu kwa maana kinywa ni moja ya sehemu ya mwili yenye mishipa mingi ya...
View ArticleTiba na Jinsi ya Kuishi na Moyo Mkubwa!
MSOMAJI wetu ameuliza kama kuna vipimo vikubwa zaidi na dawa za kutibu tatizo la moyo kupanuka. Anadai mwanzo alikuwa anapumua kwa shida akaenda hospitali, wakampiga picha ya X-Ray na kumwambia moyo...
View ArticleMahitaji ya Lishe na Usingizi kwa Mtoto!
Nangeriya Nangoro wa Kijiji cha Laalakir, Kiteto, akimnywesha maziwa mtoto wake kwa kutumia kibuyu maalum. (Picha kwa hisani ya tosamawe.blogspot.com. WAZAZI wengi wanatamani kuwa na watoto wenye afya...
View ArticleShisha yapigwa marufuku Tanzania, hakuna kuvuta sigara hadharani Dar
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, jana amemaliza kazi. Amepiga marufuku matumizi ya ulevi aina ya Shisha nchini ambao umesambaa kwa vijana wengi pamoja na watu wazima. Marufuku yake imekuja siku chache...
View ArticleNini Chanzo, Tiba & Kinga ya Maambukizi Sugu ya Njia ya Mkojo (Chronic UTI)?
MAAMBUKIZI sugu ya njia ya mkojo (chronic urinary tract infections – UTIs) ni maambukizi kwenye njia ya mkojo ambayo hayatibiki kwa urahisi au yanajirudia mara kwa mara, Fikra Pevu inaripoti kwa kina....
View ArticleNi Matatizo Gani ya Afya Huwepo Kipindi cha Ujana?
UJANA ni kipindi cha mpito kutoka utegemezi wa utoto hadi utu uzima huru na ufahamu wa kutegemeana kwetu kama wanachama wa jumuiya. Hata hivyo, umri ni njia rahisi ya kufafanua kundi hili, hasa katika...
View ArticleSheria ya kifungo kwa kumpa mimba binti chini ya miaka 18 kuongeza kasi ya...
WAKATI baadhi ya wanawake wakililia kupata walau mtoto mmoja, wapo wanaoamua kukatisha uhai wa viumbe hivyo vikiwa vingali tumboni kwa kuharibu mimba. Utafiti uliofanywa hapa nchini mwaka 2013 na...
View ArticleBima ya Afya kwa kila mwananchi, maswali mengi kuliko majibu!
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Ummy Mwalimu SERIKALI imetamka kwamba, inapendekeza kupitishwa kwa sheria ambayo inataka kila mwananchi lazima awe na Bima ya Afya Nchini, mfumo utakaowawezesha...
View ArticleUhusiano wa Magonjwa na Kuongezeka kwa Idadi ya Watu!
IDADI ya watu duniani inakadiriwa kuwa bilioni 7, kutoka bilioni 2.5 mnamo mwaka 1950. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu umeathiri usambaaji wa magonjwa kwa njia zifuatazo: 1. Msongamano na ukuaji wa...
View ArticleTaswira mbili katika jamii kuhusu mikakati ya matibabu kwa waathirika wa dawa...
WAKATI serikali ikifanya mikakati mbalimbali ya kuthibiti dawa za kulevya na madhara yake kwa waathirika kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kupambana na athari za madawa hayo nchini,...
View Article