Quantcast
Channel: Afya – Fikra Pevu
Browsing all 296 articles
Browse latest View live

Kwanini kuna wakati Binadamu hukojoa Mkojo wa njano na wakati mwingine mweupe?

SIO kitu cha kawaida kwa watu kuzungumzia masuala yanayohusu mkojo, ingawa mkojo wako unaweza kuonyesha kile ambacho umekuwa unakula, kiasi gani cha ugiligili (fluid) unachokunywa na ni ugonjwa gani...

View Article


Unyonyeshaji ni njia ya Uzazi wa Mpango, Maziwa ya mwanzo ya Mama ni muhimu...

WANAWAKE wametakiwa kuwanyonyesha watoto wao kwa kipindi cha miezi sita mfululizo bila kuwapatia chakula chochote kingine ili wawe na afya bora pamoja na kuwakinga na magonjwa. Kumnyonyesha mtoto kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upo uwezekano wa Mama mwenye VVU kufurahia Maisha ya kupata Mtoto bila...

WATAALAMU wa afya wanathibitisha kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Mama mjamzito mwenye virusi vya Ukiwmi kujifungua mtoto asiye na maambukizi hayo. Tunawezaje kuondoa hali hii ili kina mama wote...

View Article

Dalili ya Ugonjwa wa homa ya Bonde la Ufa na matibabu yake

Homa ya Bonde la Ufa (RVF) ni moja ya magonjwa yenye asili ya wanyama ambayo pia huweza kuenezwa kwa binadamu, magonjwa haya kitaalamu hujulikana kama 'Zuonosia'. Ugonjwa huu husababishwa na virusi...

View Article

HPV: Ugonjwa wa zinaa unaoweza kusababisha Saratani ya shingo ya kizazi

HPV ni moja ya magonjwa yanayoenezwa kwa njia ya ngono, wanaume na wanawake wako katika hatari ya kuambukizwa ugonjwa huu. HPV ni kifupi cha neno Human Papilloma Virus, kundi la virusi lenye aina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini ni Muhimu Kunywa Kiwango Sahihi cha Maji?

MAJI huunda zaidi ya 2/3 ya miili yetu, lakini wengi wetu huacha kunywa maji na kunywa vinywaji vingine tukisahau kunywa maji ya kutosha. Takwimu zinaonyesha kuwa mwili wa mwanadamu umejengwa kwa...

View Article

Utegemezi Sekta ya Afya: Serikali imejipanga kuukabili Upungufu fedha za Ukimwi?

WATANZANIA 70,000  kati ya 800,000 wanaotumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs) huenda wakapoteza maisha ifikapo mwaka 2017 FikraPevu inaripoti. Hatua hiyo inatokana na Serikali...

View Article

Zifahamu njia kumi (10) zinazoweza kuongeza Uwezo wako wa kuzaa Mtoto

KUPATA mtoto ni kitu kinachofurahisha kwa wenzi, hasa waliofunga ndoa, ambao hawakubahatika kupata mtoto wanakabili wakati mgumu sana. Baadhi ya wanawake hushika ujauzito mapema tu baada ya kujamiana...

View Article


Utafiti umegundua baadhi ya Njia za Uzazi wa Mpango huongeza Hatari ya...

Njia za uzazi wa mpango zenye homoni mfano vidonge vya uzazi wa mpango (POPs & COCs), sindano za uzazi wa mpango (Depo-Provera) na vipandikizi/vijiti (Implanon) ndio njia za uzazi wa mpango...

View Article


Malezi ya awali ni Muhimu kwa maisha ya Mtoto

WATU wanapofikia uamuzi wa kuoana na kutengeneza familia, huwa na tamaa kubwa ya kuzaa na kulea watoto watakao kuja kutegemeka kwa familia, jamii na nchi kwa ujumla mfano kuwa viongozi au watumishi...

View Article

Madhara ya kusafisha meno kwa kutumia Zebaki

AFYA ya kinywa ni sehemu muhimu katika ustawi wa afya ya mtu mmoja mmoja na jamii. Watanzania wengi wana magonjwa na matatizo mbalimbali katika vinywa vyao. Magonjwa ya kinywa yaliyo mengi yanaweza...

View Article

Madhara ya Matumizi ya bidhaa za Tumbaku Kiafya na Kijamii

KATIKA siku za hivi karibuni, dunia imekuwa ikihamasisha jamii zote kutambua madhara ya tumbaku kwa afya ya binadamu na hata katika uharibifu wa mazingira. Taarifa zinasema kwamba serikali inatumia...

View Article

Wizara yapiga marufuku Usafirishaji wa Chumvi isiyokuwa na Madini joto

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepiga marufuku usafirishaji wa chumvi isiyokuwa na madini joto unaofanywa na wafanyabiashara kwa visingizio vya kupeleka kwenye viwanda vya utengenezaji wa ngozi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali imesema haitayafunga Maduka ya dawa yaliyo nje ya Hospitali za Umma...

SERIKALI imesema haina mpango wa kukataza maduka ya watu binafsi yanayouza dawa muhimu za binadamu kwa mujibu wa sheria na taratibu za uuzwaji wa dawa hizo katika maeneo mbalimbali nchini, katika...

View Article

Hizi ndizo njia sahihi za Kuzuia Mimba kwa Vijana walio Masomoni

WASICHANA wengi hasa walio na uwezo wa kushika mimba ambao wanasoma au hawajaolewa wamekuwa wakijihusisha na matukio ya kutoa mimba mara kwa mara bila kufikiria athari za kutoa mimba kwa uzito. Athari...

View Article


Wataalamu wa Afya washauri jamii ijenga tabia ya Ulaji wa Chakula bora

MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Sokoine Sua cha Mjini Morogoro ambaye ni Mtaalamu wa Chakula na Lishe, Prof. Joyce Kinabo, amesema idadi kubwa ya wananchi nchini bado wanauelewa mdogo wa masuala ya chakula...

View Article

Utata wa vibali vya ARV wawafanya waathirika wa VVU kupoteza maisha

Utata wa vibali vya ARV wawafanya waathirika wa VVU kupoteza maisha KATIKA maeneo mengi ya Tanzania, kumezuka tatizo la waathirika wa Virusi Vya UKIMWI (VVU) kunyimwa madawa ya ARV kutokana na utata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zijue hatua za mabadiliko yanayojitokeza katika ukuaji wa mtoto kimwili

Wazazi wenye watoto wadogo wanategemea wakue na baadae kuwa watu wazima wanaojitegemea na wanaweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Pamoja na kuwa na matarajio hayo wazazi wengi hawajui hatua...

View Article

Kipimo cha BMI: Unajua kuwa uzito na urefu wa miili yetu ni vielelezo vya...

Katika hatua zote za makuzi ya binadamu wa kawaida, kuna mabadiliko ya kimwili ambayo hutokea tangu utotoni mpaka uzeeni. Ni mabadiliko ya urefu na uzito. Na katika kila hatua, uwiano uliopo kati ya...

View Article

Athari za Mwanga wa Vifaa vya Kieletroniki na Jinsi ya Kukabiliana nao

Na Dk. Joachim Mabula TAKRIBAN watu milioni 30 nchini Tanzania wanatumia simu za viganjani na haiwezi kupita siku bila kuangalia vioo vya simu zao, iwe ni kuchapa ujumbe wa maneno, kusoma ujumbe wa...

View Article
Browsing all 296 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>