Hatari: Wajawazito watumia dawa za kienyeji kuongeza uchungu
Imeelezwa kuwa kitendo cha baadhi ya wanawake wajawazito kutumia dawa za kienyeji kuongeza uchungu ili waweze kujifungua mapema ni moja kati ya sababu inayochangia kuongezeka kwa vifo vya Mama...
View ArticleDNA: Wanaume wachachamaa Kilimanjaro kutobambikiziwa watoto
IDADI ya wanaume wanaopima vinasaba (DNA) ili kubaini uhusiano wao wa kibaiolojia na watoto waliozaliwa na (wake au wapenzi wao), imezidi kuongezeka katika Mkoa wa Kilimanjaro, hali ambayo inaelezwa...
View ArticleMadeni ya MSD yapelekea Taasisi kubwa za tiba nchini kukosa dawa muhimu;...
Taasisi nyeti za tiba nchini zikiwemo Hospitali za Wilaya za Kiteto, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mpwapwa na nyingine nyingi zimebainika kuwa hazina dawa muhimu...
View ArticleWanawake Songea wawalalamikia wanaume kutoboa kondomu kwa makusudi
Baadhi ya wanaume katika kijiji cha Lundusi kata ya Maposeni wilayani Songea mkoani Ruvuma wanadaiwa kutoboa kondomu kwa makusudi wakati wa kujaamiana hali inayodaiwa kuchangia ongezeko la maambukizi...
View Article‘Thamini Uhai’ yaokoa maisha ya mama mjamzito
KAMPENI ya 'Thamini Uhai, okoa maisha ya mama mjamzito na mtoto' inayoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la World Lung Foundation Tanzania (WLF) chini ya ufadhili wa Swedish Internatinol Agency...
View ArticleKuchangia Damu ni Mkombozi wa afya na maisha ya Mama na Mtoto
Takwimu zinaonyesha kuwa takribani wanawake 454 kati ya vizazi hai 100,000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tatizo la uzazi na asilimia 80 ya vifo hivyo husababishwa na ukosefu wa damu. Juhudi...
View ArticleKitengo cha Mazoezi ya Viungo Hospitali ya Muhimbili kipo katika hali mbaya
HALI ya Kitengo cha Mazoezi ya Viungo katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili ya jijini Dar es Salaam si shwari na husababisha mapungufu makubwa ya mahitahi ya wagonjwa wa viungo ambao hutibiwa hapo....
View ArticleSIKIKA waitaka Serikali isikwepe madeni ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD)
Jitihada za asasi zisizo za kiserikali nchini likiwemo Shirika lisilo la Kiserikali la SIKIKA kutaka kuishawishi serikali kulipa madeni inayodaiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) la zaidi ya shilingi...
View ArticleFahamu juu ya kuchangia damu kwa mama Mjamzito (Maswali na Majibu)
Aina za damu Aina ya damu (pia huitwa kikundi cha damu) ni uainishaji wa damu kwa kuzingatia kuwepo au kutokuwepo kwa dutu za antijeni za kurithiwa kwenye uso wa chembechembe nyekundu za damu (RBCs)....
View ArticleWatanzania wengi hawaitambui ‘Bima ya Afya’ na huduma zake
IDADI kubwa ya Watanzania hawatambui Bima ya Afya ni nini na huduma hiyo hutolewa vipi. Kwa baadhi ya waliobahatika kusikia na kutambua Bima ya afya wengi hudhani Bima ya Afya ni kwa ajili ya...
View ArticleMaandalizi ya kujifungua salama kwa mama Mjamzito…
Shirika la Afya Ulimwenguni linasema; kila siku karibia wanawake 800 hufa kwa matatizo ya mimba na uzazi yanayoweza kuzuilika. Asilimia 99 ya vifo vya kina mama wajawazito hutokea kwenye nchi...
View ArticleMagonjwa yasiyoambukiza yaongezeka kwa kasi Tanzania
WATAALAMU wa afya nchini, wameonya juu ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza yanayotokana na kula vyakula vyenye mafuta mengi na hivyo kumsababishia mlaji kupata magonjwa hayo...
View ArticleUnunuaji holela wa Dawa wa Wananchi unadidimiza Afya zao
Mara nyingi matumizi ya dawa muhimu zijulikanazo kama vijiuasumu au ‘antibayotiki’ zinazopatikana kwenye maduka ya dawa muhimu zisipotumiwa ipasavyo, vinadhuru afya ya mgonjwa kutokana na mazoea ya...
View ArticleNini hufanyika Kliniki za Wajawazito na Nini Faida yake?
Wanawake wengi hutarajia kujifungua watoto wenye siha njema pindi wanapokuwa wajawazito ingawa hawatendi kulingana na matakwa yao. Kuhudhuria kliniki ni moja ya takwa wanaloshindwa kulitimiza....
View ArticleFahamu ugonjwa wa Kansa, dalili na tiba yake
KANSA au kwa jina jingine, Saratani, ni kundi la magonjwa yanayosababishwa na mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa seli na kuunda uvimbe unaovamia na kuzidhuru tishu za mwilini. Kansa isiyotibiwa,...
View ArticleFahamu athari za Tumbaku kwa Afya ya Binadamu
HISTORIA inaonyesha kwamba tumbaku ilivumbuliwa na mabaharia wa Kihispania kwenye fukwe za Marekani mwaka 1500 (BK). Kuanzia hapo, wafanyabiashara wa Kizungu waliichukua tumbaku hiyo kutoka Marekani...
View ArticleKupambana na Vifo vya Mama Wajawazito & Watoto Wachanga Tanzania
Jumuiya za kimataifa zimeguswa sana na tatizo la vifo vya kina mama wajawazito na watoto wachanga hadi kujitolea katika kusaidia kupunguza tatizo kwa jitihada mbalimbali. Serikali ya mkoa wa Kigoma na...
View ArticleMaambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) toka kwa mama kwenda kwa mtoto (Maswali...
Kila mwaka wanawake milioni 1.4 hupata ujauzito nchini Tanzania. Takwimu za mwaka 2005 zinaonyesha asilimia 8.2 ya wajawazito wote hukutwa na maambukizi ya UKIMWI. Wajawazito hawa wote hutarajia...
View ArticleUpungufu wa madaktari nchini unachangia kuzorota kwa afya na uchumi
UCHUMI endelevu hauwezi kujengwa na taifa lenye watu wagonjwa kwa kuwa watu hao watatumia muda mwingi kujitibu badala ya kuzalisha mali, hali inayochangia kuzorota kwa uchumi na hivyo ongezeko la...
View ArticleMume awapo karibu na mama mjamzito, humpa faraja wakati wote wa ujauzito
TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya nane duniani katika orodha ya nchi ambazo zinakabiliwa na tatizo la vifo vya kina mama wajawazito. Ripoti ya hivi karibuni kabisa iliyotolewa na taasisi moja ya...
View Article