Ugonjwa wa kichomi waongoza kwa vifo miongoni mwa watoto Afrika
UGONJWA wa Kichomi umetanjwa kuwa ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababisha vifo vingi miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano duniani, huku watototo zaidi ya milioni moja wakipoteza maisha...
View ArticleWezi wa Dawa za Serikali waendelea kujineemesha; agizo la kuwabana lapuuzwa
AGIZO la Serikali kutaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ishirikiane na Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) na vyombo vingine vya dola kuwasaka wanaouza dawa za Serikali katika maduka yao ili...
View ArticleChanjo ya kwanza ya Malaria kuvumbuliwa nchini
TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa na Tiba ya Ifakara Health Institute ya Jijini Dar es Salaam, imesema inafanya utafiti wa kinga ya kwanza ambayo itakuwa ya kipekee duniani kwa kulenga kuzuia maambukizi...
View ArticleDaktari asiye na taaluma (feki) akamatwa Morogoro
DAKTARI feki amekamatwa katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya kufanya kazi kwa muda wa wiki tatu akihudumia wagonjwa katika Hospitali hiyo na kufanya wagonjwa waliokuwa wanatibiwa hospitalini...
View ArticleUgonjwa unaotokana na ulaji wa nyama na maziwa yasiyoiva waripotiwa Tanga
WATAFITI wa Magonjwa ya Binadamu na Mifugo nchini, wametoa tahadhari kwa wananchi kuepuka kunywa maziwa yasiyochemshwa na nyama isiyoiva vizuri kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa unaosababishwa na...
View Article‘SHISHA’ marufuku kutumiwa ndani ya Tanzania na Kenya
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepiga marufuku matumizi ya uvutaji tumbaku ijulikanayo kama ‘Shisha’ kutokana na madhara yanayotokana na kilevi hicho ambapo athari kubwa huwa ni kwa mtu...
View ArticleSakata la kutupwa viungo vya binadamu Dar: Chama cha Madaktari chaitaka...
CHAMA cha Madaktari Tanzania pamoja na Jamii ya Madaktari nchini Mathematical Association of Tanzania (MAT), kimeitaka Serikali kukifungia Chuo Kikuu cha Madaktari, International Medical and...
View ArticleHospitali za Rufaa nchini zawachanganya wagonjwa; walalamika kutengwa…
UELEWA mdogo wa taratibu za kupata huduma katika hospitali za rufaa nchini unahatarisha maisha ya wananchi wanaoruka zahanati na hospitali za chini na kukimbilia katika hospitali za rufaa,...
View ArticleWHO kutunga sera kukabiliana na virusi vya homa ya INI (Hepatitis)
Shirika la Afya Duniani, World Health Organization (WHO), limesema limeanza kutunga sera mpya itakayotumika kukabiliana na tatizo la maambukizi ya virusi vya homa ya Ini ‘Hepatitis’ baada ya kufanyika...
View ArticleNdugu wamtelekeza mgonjwa hospitalini kwa zaidi ya miezi nane!
TABIA ya baadhi ya watu kuwatelekeza wagonjwa Hospitalini mkoani Arusha bado inaendelea kuota mbawa, baada ya mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Robson Nkusa (38), kutekelezwa na ndugu zake kwa zaidi...
View ArticleGari la kubeba wagonjwa latumika kuneemesha watumishi wa afya Kahama
BAADHI ya Wananchi katika Kijiji cha Shunu katika Kata ya Nyahanga Wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wamelalamika hatua ya kutozwa gharama ya shilingi 40,000 hadi 60,000 ya usafiri wa gari la wagonjwa...
View ArticleUgonjwa wa Kisukari: Tafakari juu ya Chanzo, Dalili na tiba yake
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni kama ya moyo na mishipa...
View ArticleHATARI: Tanzania haijajipanga vyema kudhibiti Ebola, hakuna ukaguzi na vifaa...
TAASISI mbalimbali zinazohusika na kukabiliana na magonjwa ya milipuko nchini Tanzania zikiwamo hospitali kubwa za serikali nchini zinatajwa kutojizatiti katika kukabiliana na ugonjwa hatari wa ebola...
View ArticleMwanza: Maji yenye kemikali na mbogamboga zisizo salama vyazua hofu kwa wananchi
AFYA za wananchi wa Kata za Igoma, Buhongwa, Busonge, Idedemia na Bukumbi, Katika Wilaya za Ilemela, Nyamagana na Misungwi mkoani Mwanza, zipo hatarini kuathirika kutokana na kutumia maji yanayodaiwa...
View ArticleWahudumu wa afya wanaotoa lugha chafu hospitalini kubanwa
Mkuu wa Wilaya ya Songea, ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti, ametishia kupambana na watumishi wa afya katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa huo, watakaoripotiwa kutoa lugha...
View ArticleTanzania yakwama kufikia malengo ya milenia sekta ya Afya
SERIKALI ya Tanzania imeshindwa kukabiliana na tatizo la vifo vya mama na mtoto wenye umri chini ya miaka mitano, kutokana na uzazi unaofanyika chini ya kiwango bila kuboresha miundombinu ya barabara,...
View ArticleTanga: Wajawazito wazalishwa kwa mwanga wa vibatari
WAJAWAZITO wanaokwenda kujifungua nyakati za usiku katika Zahanati za Kiberashi na Negero katika Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, wameililia Serikali kutaka msaada kufuatia zahanati hizo kukosa vitanda...
View ArticleTishio la Ebola: Wananchi Mbeya watahadharishwa kukumbatiana, kushikana mikono
WAKAZI wa Jiji la Mbeya wametahadharishwa kuepuka mazoea ya kusalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana, ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola. Mganga Mkuu wa jiji hilo,...
View ArticleUgonjwa wa Kisukari: Tafakari juu ya Chanzo, Dalili na tiba yake (Sehemu ya...
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni kama ya moyo na mishipa...
View ArticleMfumo mbovu wa kudhibiti maji taka Dar wahatarisha afya za wakazi
JIJI la Dar es Salaam ni mojawapo mikoa inayotajwa kuwa inaongoza kwa kero kubwa ya utiririshaji hovyo wa maji taka kwenye chemba za vyoo kwenda kwenye barabara zinazotumiwa na watembea kwa miguu,...
View Article