Jinsi ya Kupunguza Matumizi ya Chumvi katika Ulaji wa Vyakula na mengineyo
Chumvi inapotumika kwa kiasi kidogo haina madhara. Miili yetu inahitaji chumvi kwa kiasi kidogo sana kwasababu chumvi huupatia mwili madini ya Sodium yanayohitajika kusafirisha taarifa za mfumo wa...
View ArticleBaada ya Matibabu ya Moyo, Muhimbili yaanza Kutoa Huduma Mpya ya Kuzibua...
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kwa mara ya kwanza katika historia ya kuwepo kwa hospitali hiyo, imeanza kutoa huduma ya matibabu kwa njia ya kuzibua mishipa ya damu iliyoziba kutokana na...
View ArticleUtafiti: Ushuzi unaotokana na Kujamba, una Uwezo wa Kutibu Ugonjwa wa Saratani
UTOAJI wa ushuzi, katika mazingira yoyote yale, umekuwa na matokeo tofauti katika jamii yetu ya Kitanzania. Watu wanaotoa ushuzi au kujamba mbele za watu, huonekana mbele ya watu hao kama watu wasio...
View ArticleUtafiti Mpya wabaini Ubora zaidi wa Maziwa kwa Afya ya Ubongo wa Binadamu
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa na Taasisi ya Tiba ya Chuo Kikuu cha Kansas cha nchini Marekani, umebainisha kuwepo uwezezekano wa uhusiano wa karibu kati ya matumizi ya maziwa na afya ya ubongo....
View ArticleZifahamu aina za Magonjwa ya Moyo, Dalili zake na Njia za Kujikinga
MAGONJWA ya Moyo (Cardiovascular Diseases), ni miongoni mwa magonjwa yaliyoko kwenye kundi la ugonjwa usioambukiza. Haya ni magonjwa yale yote yanayoathiri moyo na mishipa yake. Kwa hiyo, magonjwa ya...
View ArticleWajawazito walazwa na Kujifungulia Nje ya Wodi za Wazazi
KINA mama wajawazito, wanaopata huduma za afya ya uzazi na kujifungua katika Kituo cha Afya cha Likombe, kilichopewa hadhi hivi karibuni kuwa Hospitali ya Wilaya katika Manispaa ya Mtwara/Mikindani,...
View ArticleFunguo Tano za Kumhakikishia Mtu kuwa na Afya Njema muda wote
Ili mtu aweze kufanikiwa malengo yake anapaswa kuwa na mahitaji fulani. Moja ya hitaji kubwa na la msingi ni kuwa na afya njema. Endapo mtu hatakuwa na afya njema atatumia gharama kubwa na muda mwingi...
View ArticleWauguzi Tanzania Waadhimisha Siku yao huku Wakiyaenzi Matatizo Lukuki
KESHO Mei 12, 2015 ni Siku ya Wauguzi Duniani. Wauguzi ni miongoni mwa kada muhimu kwa jamii yoyote duniani katika kada za utumishi wa umma, umuhimu unaotokana na taaluma yao hiyo kwa wagonjwa katika...
View ArticleWatoto Njiti 40 Wazaliwa Biharamulo ndani ya Miezi Sita
Wakati Tanzania ikitajwa kuwa nchi ya 12 duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha majuma 37 (Njiti), sawa na miezi tisa ya mtoto kukaa tumboni, takriban watoto zaidi 40...
View ArticleFahamu Chanzo na Dalili za Uvimbe wa Tezi za Uzazi kwa Wanawake na Tiba yake
Wanawake wengi wamekuwa na tatizo la kutoshika ujauzito, lakini bila ya kujua sababu yake pia ni nini. Moja ya sababu ya kutoshika ujauzito, ni ugonjwa wa Sisti au Nziba unaopatikana kwenye Ovari za...
View ArticleDalili za Ugonjwa wa Uvimbe wa Tezi za Uzazi kwa Wanawake na Tiba yake (2)
Katika makala iliyopita ambayo ni (sehemu ya kwanza) tulijadili namna wanawake wengi wanavyoteseka na tatizo la kutoshika ujauzito bila ya kujua sababu yake pia ni nini. Moja ya sababu ya kutoshika...
View ArticleYafahamu Magonjwa Sugu ya Njia ya Hewa, Chanzo chake na jinsi Kuishi nayo
Magonjwa Sugu ya Njia ya Hewa ni magonjwa yanayoathiri njia za hewa pamoja na sehemu nyingine zinazohusiana na mapafu, kama vile magonjwa ya Pumu, Kufungana kwa njia za pumzi (Chronic Obstructive...
View ArticleHATARI: Vimelea vipya vya Kisonono Visivyotibika kama Virusi vya Ukimwi...
WAKATI dunia ikipalangana kutafuta dawa ya kutibu ugonjwa wa Ukimwi, imeripotiwa kubainika kwa vimelea vipya vya ugonjwa wa Kisonono, ambavyo havisikii dawa za ugonjwa huo zilizokuwa zimezoeleka...
View ArticleYafahamu mambo muhimu ambayo Mwanamke anatakiwa Kufanyia Uchunguzi wa Kiafya
KWA jinsi maisha ya sasa yalivyo na pilikapilika nyingi za kujitafutia riziki, wakati mwingine hata mtu kupata muda wa kumuona daktari akiwa haumwi sana, mara nyingi inakuwa ni vigumu. Hata hivyo...
View ArticleMamlaka zinazosimamia Sheria ya Kudhibiti Uvutaji Sigara hadharani,...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia Sheria ya Kudhibiti Uvutaji wa Sigara kwenye ofisi za umma pamoja na kwenye mikusanyiko wa watu. Sheria hiyo ilipitishwa na Bunge mwaka 2003 ili pamoja na...
View ArticleHADHARI: Maziwa Bora ya Kopo ya Watoto yaadimika, Maziwa Feki yauzwa Madukani
KUADIMIKA kwa maziwa bora ya kunyonyeshea watoto wadogo, kumewafanya baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu na wenye tamaa ya kipato kuingiza sokoni maziwa feki yaliyokwishapigwa marufu nchini na...
View ArticleUtafiti: Kuanza Mapema Matibabu ya Virusi vya UKIMWI hata kama Hujaathirika...
TAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO), zinaonyesha kuwa nchi zilizopo Kusini Mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo, zinaongoza kuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa kiwango kikubwa,...
View ArticleWanaotoa Mimba chini ya Miaka 18, hatarini kupata Ugonjwa wa Saratani ya...
WASICHANA wanaopata mimba wakiwa na umri chini ya miaka 18 pamoja na wenye tabia ya kutoa mimba mara kwa mara, wametajwa kuwa katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi,...
View ArticleAjali ikiua 20 Serikali inaguswa, Wanawake 720 Wanaofariki Dunia kwa Uzazi...
Jumla ya wanawake 720 wanakufa kila mwezi nchini Tanzania kutokana na matatizo ya uzazi, hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa kuwa na vifo vingi vitokanavyo na matatizo ya uzazi katika...
View ArticleFahamu ukubwa wa Tatizo la Ugonjwa wa Akili na aina ya Ugonjwa huo
WATAALAMU mbalimbali wa magonjwa ya akili, wanauelezea ugonjwa huo kama moja matatizo makubwa yanayoikumba jamii ya Watanzania na dunia kwa ujumla. Kwa mujibu wa Wataalamu hao, ugonjwa huo huathiri...
View Article